RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAFURIKO NI SHIDA KWA MANESI MAHOSPITALINI ASEMA MWINJILISTI SARAH MVUNGI


Baada ya hali kuwa ngumu hapa bongo kwa mvua, Sarah Mvungi ambaye ni muuguzi (nesi) na ni mwimbaji wa nyimbo za injili amesema inawawia ngumu sana katika kipindi hiki cha mafuriko na mvua nyingi zinazoendelea kunyesha hapa bongo Tanzania.

Tunaona katika vyombo vya habari watu wakiathirika na mvua kiafya na hata mali kupokea, magonjwa yanazidi kuongezeka, idadi ya wagonjwa mahospitalini inazidi kuongezeka kila kuitwapo leo. Tuanapswa kuomba na kufunga juu ya hii hali na kuwashauri wanaoishi mabondeni wahame na kwenda maeneo salama yaliyotengwa na serikali ya Tanzania.

Comments