RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MSIKILIZENI MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI GRACE RWEGASHA AKILIA JUU YA WAIMBAJI NA WATUMISHI WA MUNGU NA AKIELEZA MAISHA YAKE YA KIMUZIKI

Wiki iliyopita tulijaribu kukupa dondoo za mwimbaji Grace Rwegasha na mdogo wake Joshu walivyoamua kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji na historia yao kwa kiufupi, lakini leo ameamua kufunguka na utasikia mwenyewe akijieleza katika clip hii. Ninaamimi utabarikiwa na historia yake na kilio chake  pamoja na kikundi cha cha Grace and Joshu

Grace Christian Joshu akiwa katika ofisi ya Rumafrica wakifanya mahojiano

Siku ya leo tutakupa sehemu ya kwanaza ya maisha yake ya kimuziki na kilio chake kwa waimbaji wenzake, watumishi wa Mungu na pia watu wanavyomkatisha tamaa kwa huduma yake ya uimbaji 


Kama unahitaji kufanyiwa maojiano na Rumafrica basi wasilina nasi kwa simu hii +255 715 851523 nasi tutakusaidia kusambaza habari zake duniani kote. Mungu  azidi kukubariki.

Comments