RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

SIKILIA HISTORIA YA MAISHA TB JOSHUA WA SCOAN NIGERA TOKA ALIKOANZA NA MPAKA ALIPO SASA...

Umesikia Mengi sana kuhusu TB Joshua na pengine kudaganywa na walio wengi. WAtu wamesema sana ya kweli na yasiyoya kweli kuhusu mtumishi wa Mungu TB Joshua kuhusu maisha yake. Unajua mtu anavyokuzungumzia yale ambayo hujawahi kufanya mara nyingi utajisikia vibaya. Leo hii watu wamediriki kumzungumzia mabaya ambayo ki uhakika mtumishi wa Mungu TB Joshua hajawahi kufanya hata siku moja.
http://nehandaradio.com/wp-content/uploads/2012/01/tb-joshua.jpeg
Tunapaswa kuwasamehe hawa watu wanaomzungumzia vibaya mtumishi wa Mungu TB Joshua na wale wote wanaowasema watumishi wa Mungu bila ya uhakika na kile wanachokisema, ila wamesikia kwa watu na wakaamua na wenyewe kusambaza sumu kwa wengine.

Sasa leo utajua maisha yake tangia ameanza huduma yake mpaka sasa alipo. Clip hii imewekwa katika youtube mwaka jana 2013 mwezi January.

Wenu katika Bwana
Rulea Sanga

Comments