RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MATUKIO KATIKA PICHA YA TAMASHA LA JUDITH KISIMBA LA UZINDUZI WA ALBAMU YAKE MPYA

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, Watanzania waliweza kupata upako wa kipekee kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Judith Kisimaba ambaye alikuwa akizindua albamu yake siku ya Jumapili katika kanisa la ...............hapa jijini Dar es Salaam. Watu walipokea kile ambacho kiliandaliwa na mtumishi huyu wa Mungu ambaye aliweza kuimba LIVE. Kazi ya Bwana ilikuwa nzuri sana na tunaamini watu walipokea miujiza yao baada ya lile tamasha na pengine palepale.

Tuone baadhi ya matukio kwa njia ya picha:
"RUMAFRICA inaomba radhi kuwaletea picha ambazo hazina quality. Siku ya tamasha Rumafrica ilikuwa katika maombolezo ya kifo cha shemeji yake na Mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga"


 Kutoka kulia ni mume wa Judith Kisimba Bwana John Kisimba akiwa na mke wake. Kushoto ni mwimbaji wa bendi ya Calvary.
John Kisimba (kushoto) akiwa na Upendo Nkone ambaye aliimba siku hiyo

  Judith Kisimba







Comments