RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

GRACE RWEGASHA NA JOSHUA WAMEACHIA NYIMBO ZAO KATIKA YOUTUBE. SIKILIZA WIMBO HUU KUTOKA KWA WATUMISHI WA MUNGU

Grace Rwegasha na Joshua ni waimbaji walioamua kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Mungu amewapa kitu cha pekee kwa waimbaji hawa hasa style yao ya uimbaji. Nyimbo zao zinamgusoo wa kipekee sana.

Joshua na Grace Rwegasha ni mtu na mdogo wake ambao wamefanikiwa kutoa albamu yao katika mfumo wa Audio. Albamu hii bado haijaingia sokoni, pele itakapokuwa sokoni Rumafrica itawajuza.

Waumbaji hawa wako tayari kumtumikia Mungu mahali popote na wakati wowote. Kama unatamasha au mkutano unaweza kuwasiliana na hawa waimbaji nao watafanyoika baraka kwako na kwa watu watakaosikiliza nyimbo zao.

SIKILIZA WIMBO WAO "MY SAVIOUR GOD"


Waimbaji hawa wanahitaji kuungwa mkono kwani ndio kwanza wameingia katika ulimwengu wa kumtumikia Mungu wa njia ya uimbaji. Kazi hii ya uimbaji sio rahisi inahitaji sana maombezi yenu na pia kushauriana. Wapo tayari kusikia ushauri wako na wataufanyia kazi kama una lenga kumuinua Yesu Kristo.



Comments