RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ASKOFU WA TAG DR. BANARBAS MTOKAMBALI ACHAGULIWA KUWA MAKAMU WA AFRICAN ASSEMBLIES OF GOD

Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies Of God Dr. Barnabas Mtokambali ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Umoja wa Makanisa Ya Assemblies Of God Barani Africa.

Askofu Dr. Mtokambali ambaye kwa sasa yuko nchini marekani na baadhi ya wachungaji wa Kanisa hilo nchini humo kulikokuwa na maadhimisho ya miaka 100 ya Kanisa la Assemblies of God nchini humo ameteuliwa kushika wadhifa huo Mapema wiki hii.

Comments