RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

HAPPY BIRTHDAY JOAN

Mungu nimwema kwako..inapendeza kuona unaifikia siku yako ya kuzaliwa..hii inamaanisha umri wako umeongezeka...na majukumu yameongezeka..Mungu azidi kukulinda na kukubariki kwa kila jambo unafanya. Kila kitu utakachokigusa kikafanyike mara mia kwa maongezeko kwa jina la Yesu Kristo...Amen



Comments