RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UMEFIKA WAKATI WA KUSIKILIZA NYIMBO ZA FAITH MBATHA KUTOKA KENYA ZINA MGUSO WA NAMNA YAKE

Rumafrica ni wahusika wakubwa sana kwa kutengeneza DVD Cover. Unaweza kuwasiliana nao kwa simu +255v 715 851523Faith Mbatha ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya. Mungu anamtumia mtumishi huyu kwa njia ya ajabu sana. Nyimbo zake zina kitu cha pekee sana ukizisikiliza, zina uwepo fulani wa Kimungu amabao huwezi kuuelezea ni mpaka umekukuta ndipo utagundua. Nyimbo zake zimebeba ujumbe wa kipekee sana ukifananisha na waimbaji wengine.

Mungu wetu ana watu wake wa kufanya kazi yake hapa dunia. Kama wewe unazembea kufanya kazi ya Bwana, basi wapo amabao wanaweza kufanya kazi ya Bwana na uvuvi wako hapunguzi lolote kwa Mungu ila wewe ndiye unayejijengee kuta kubwa ya kutofika mbinguni kwa Bwana.

Mwimbaji huyu mbali na uimbaji na pia ni mwinjilisti machachari sana kwa kazi ya Mungu. Hivi sasa yupo nchini Tanzania akimalizia kufanya albamu yake mpya mabayo mtasikia kupitia blogu hii. Ujio wake nchini Tanzania sio kama kwao Kenya hawafanyi kazi ya studio vizuri, hapana, ila amekuja kuchanganya vionjo vya Kitanzania ili kazi ya Bwana ipendwe na Watanzania na Wakenya.

Tumuunge mkono mtumishi wa Mungu kwa kununua DVD zake na pia yuko tayari kufannya kazi ya Mungu katika mikutano mballimbali, makanisani na popote penye mkusanyiko kwa watu.

Unaweza kuwasiliana naye kwa simu hizi  Kenya 0723 568 876 na Tanzania +255 758 982 931.

Rumafrica ni wahusika wakubwa sana kwa kutengeneza DVD Cover. Unaweza kuwasiliana nao kwa simu +255v 715 851523

SIKILIZA NYIMBO ZA MTUMISHI WA MUNGU FAITH MBATHA KWA KUBOFYA HAPA







Comments