RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EDGAR MUTTA NA WAZAZI WAKE WAFANYA MISA YA SHUKURANI‏


Padri Evod Shao (kulia) akiongoza misa ya shukurani ya Edgar Mutta (hayupo pichani) iliyofanyika Silver Spring, Maryland nchini Marekani ya kumtolea Mungu shukurani ya kuwezesha kupoma maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kushoto ni Padri Leandry Kimario.

Edgar Mutta (kati) katika picha ya pamoja na wazazi wake wakti misa ya shukurani ikiendelea.

Kulia ni Adrian Mutta na mama yake wakiendelea na misa ya shukurani iliyofanyika siku ya Jumamosi Sept 27, 2014.

Judith na Liberata (kulia) wakifuatilia misa.

McDonald akisoma somo.

Padri Leandry Kimario akiombea familia ya Colonel Adolph Mutta ambaye ni mwambata wa Jeshi Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada.

Mtoto Brian akiongoza kwaya kwa kupiga kinanda.

Watanzania na marafiki zao waliohudhuria misa ya shukurani ya Edgar Mutta.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula akiongea jambo na Balozi Karume na mkewe kushoto ni Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly.

Colonel Mutta akiotoa neno la shukurani.

Comments