RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TAMASHA LA UZINDUZI WA ALBAMU YA "NI MWEMA" KUFANYIKA LANDAMARK UBUNGO NA SIO BLUE PEARL HOTEL KAMA MLIVYOTANGAZIWA


Tamasha la kuzindua albamu ya "Ni Mwema" ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Ibrahi Ahazi Sanga sasa kufanyika katika ukumbi wa Landmark uliopo Ubungo Externa mkabara na bango la Mzee wa Upako Anthony Lusekelo. Tamasha hili limehamishwa kutokana na hotel ya Blue Pearl Ubungo Plaza kufungiwa kwa muda.

Kazi ya Mungu itafanyika tu hata kama shetani anataka kuharibu, lakini ameshindwa. Tunakuomba wewe Mtanzania ushiriki nasi kumuunga mkono mtumishi wa Mungu Ibrahim Sanga siku hiyo ili tufurahi pamoja na kumtukuza huyu Mungu wetu.

Tamasha hili lenye wambaji zaidi ya 18 watavamia ukumbi huo na kuhakikisha kazi ya Bwana inaendelea kuwa juu na juu zaidi.




Comments