RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TSHIRTS ZA ANGEL BENARD ZAWA KIVUTIO KATIKA TAMASHA LAKE LA KUZINDUA ALBAMU YAKE YA "NEED YOU TO REIGN" WORDALIVE SINZA MORI

Siku ya Jumapili 28.09.2014 Angel Benard aliweza kuzindua albamu yake ya NEW DAY katika kanisa la WordAlive Sinza Mori kwa Askofu Deo Lubala. Watu walikuwa ni wengi sana na ma-celebrate kama mtangazaji wa WANAWAKE LIVE Joice Kilia ambaye alionekana kuguswa sana huduma ya Angel Benard na akaamua kumuunga mkono wa kumchangia Tshs. 1,000,000. Watu wengu walijitokeza kumuunga mkono Angel Benard na kutamka kile ambacho wanaweza kufanya kwaajili ya kuipeleka injili kwa njia ya uimbaji.

Mbali ahayo yote pia kulikuwa na Tshirts zilizoandikwa wimbo ambao Mungu aliweza kumsaidia na kufanya shooting nchini Kenya kwa gharama ya Tshs. 5,000,000. Ukiangalia video hiyo utaamini jinsi ulivyo katika viwango vya kimataifa kwa quality na location.

Rumafrica itakuletea matukio katika picha ya tamasha hili. Endelea kutembelea Rumafrica For All Nations..

Comments