RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ALINE VYUKA KUZINDUA ALBAM YAKE YA "NI SALAMA" NCHINI MAREKANI

Aline Vyuka sasa kufanya uzinduzi wa albamu yake nchini Marekani. Tamasha hili ambalo litakuwa kubwa sana litaambatana na uimbaji kutoka kwa waimbaji maarufu sana nchini Marekani kama wanavyoonekana katika tangazo hapo chini. Albam yake ambayo imefanyika nchini Tanzania, na inavionjo vya Kiafrika, kwa hakika ukisikia utaamini kuwa Mungu wetu anawaimbaji wake hapa duniani mabli na kuwa na mailaka wake huko mbinguni. Mkazi wa Marekani usikose baraka hizi za Mungu kupitia uimbaji wa Aline Vyuka.


Tangazo limetengezwa na Rumafrica +255 715 851523

Comments