RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA INAKUPONGEZA EMANUEL MGAYA KWA SAFARI YAKO YA USA

Rumafrica inakupongeza Masanja Mkandamizaji kwa kazi nzuri unafanya kwaajili ya kuwaleta watu kwa Yesu. Tunaona matunda yako yenye kuleta baraka na changamoto kwa vijana kama wewe. Inapendeza sana tunapoona Mungu akisema na wewe na kukubariki hapa duniani kutokana na juhudi zako za kumtukuza Mungu. Tunakuombea maisha marefu na uzidi kudumu katika kazi ya Mungu.

Tunamshukuru sana Mungu kwa kukusafirisha kufika Tanzania siku ya leo ukitokea Marekani. Kweli Mungu ni mwaminifu sana, kwani si jambo rahisi lakini kwako amefanya jambo rahisi..MUNGU AKUBARIKI.




Comments