RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA INAKUPONGEZA JESICA BM NA MUMEO BROTHER BONIPHACE MAGUPA KWA KUPATA MTOTO

Hakika haukuwa rahisi, lakini imefanyika kuwa rahisi na baraka ndani ya nyumba yenu. Mungu azidi kuwa nanyi kama alivyokuwa nanyi katika milima na mabonde mliyokuwa mkipitia. Zawadi mliyotuletea duniani itafanyika baraka kwa vizazi vijazo na italeta matunda mazuri mbele za Mungu wetu. Mungu azidi kumtunza mwanenu na azidi kuwabariki kila kuitwapo leo.

Mungu wangu aibariki kazi ya mikono yenu, awabariki madaktari na wahudumu wote waliohusika kipindi mjauzito na hata ulipojifungua, Mungu awabariki ndugu na jamaa wote waliokuwa nayi katika kipindi kizima, Mungu azidi kumlinda huyo dada uliyekuwa ukiishi naye hapo nyumbani wakati wa ujauzito wako, Mungu alibariki kanisa la WordAlive pamoja na Mtume Deo Lubala kwa maombezi yake. Kazi zenu na ziwe na mafanikio makubwa sana. Mungu awabariki nyote. Amen

Rumafrica imefurahishwa sana na ujumbe mzuri kutoka kwa Jessica BM kwa kupitia akaunti yake ya Facebook na ikaona ni vizuri kukushirikisha wewe mwana-Rumafrica. Soma ujumbe huu
"It wasn't easy ..by I have all the reasons to say. ."papa God jehovah thenk u "..asanteni wooote mlioniweka ktk MAOMBI. ..maombi yetu yamejibiwa na adui yetu mkubwa shetani ..amegaragazwa mbaya. .tuli count down. ..tareh 18/10/20014 saa 8 usiku kuamkia jmoss tumemaliza ku count. ..sasa PRAISE PREZIL Boniphace Magupa ,Amekwisha wasili duniani (kaz kwako ..hhhhhhhhhhh,uvumba na manemane .",hhh, utukufu kwa Mungu ...kwa kutupa mimi na Mumewangu Boniphace Magupa mtoto wa kike jina lake praise. ..kweli sifa ni kwake pekee ...kwa ss naishia hapa. ..asanteni"
Boniphace Magupa na Mwanae




Comments