RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TUNAWAPONGEZA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA

Mungu awalinde waimbaji wa nyimbo za Injili kwa huduma mlionayo. Mungu azidi kuwatumia ili mioyo ya watu ipone. Nyimbo zenu zimefanyika baraka kwa walio wengi. Huyu Mungu tunayemwabudu awalinde na abariki kazi ya mikono yenu. Nyimbo zenu zikaguse nafsi za watu na watu wakaokoke. Rumafrica inawapongeza sana watumishi wa Mungu kwa kazi yenu hii.

Comments