RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

GET TOGETHER ENTERTAINMENT KUWAKUSANYA WAPENDANAO SIKU YA VALENTINE NDANI YA PRINCES HALL SINZA MAPAMBANO

Hakuna mtu asiyeijua siku ya wapendanao (Valentine Day) hapa dunia, na kama wapo basi ni watu wachache sana. GET TOGETHER Entertainment baada ya kuona umuhimu wa siku hii, imeamua kuandaa mahali tulivu na salama kwa wapendanao kukutana na kubadilishana mawazo na kuutafakari mwaka 2015. Shughuli nzima itafanyika usiku ambapo watu wataanza kuingia kuanzia saa 12:00 jioni kuwahi viti vyao. Hii ni siku ambayo kila kitu kitaonekana katika muonekano wa wekundu. Burudani, vinywaji na vyakula siku hiyo vitataapkaa mezani kwaajili yako wewe uliyeamua kufika eneo la zuri lenye mvuto wa kipekee. Utakuwa unajiuliza ni wapi hapo? Tukio hili litafanyika Princes Hall Sinza Mapambano, ukifika hapo utaona barabara ya vumbi mkono wako wa kushoto kama umetokea Mwenge, fuata hiyo barabara na utaona ukumbi uko barabarani kabisa.Watu wataweza kuingia kwa kiiingilio kidogo sana, Single ni Tshs. 10,000 na Double ni Tshs. 20,000 tu.
Waimbaji wamejipanga kisawasawa kama utakavyowaona katika tangazo hapo chini. Tangazo limetengezwa na Rumafrica For All Nations +255 715 851 523

Comments