RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA ONLINE TV: MWASIBU, MWANDISHI WA VITABU, MWIMBAJI NA MCHUNGAJI EDITH LYENGI WAMBURA AFUNGUKA NA KUELEZEA MAISHA YAKE YA UIMBAJI, SABABU ZA NDOA ZA WATUMISHI WA MUNGU KUYUMBA, MUNGU ALIVYOMTENDEA KUPATA MTOTO KWA MIAKA 7 BILA MTOTO, KWANINI ANAMPENDA REBECA MALOPE, MAISHA YA WAIMBAJI KIPINDI CHA MIAKA YA 80 N.K.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Edith Lyengi Wambura aliweza kufika katika TV yetu ya Rumafrica Online TV na kuweza kuzungumza mengi kuhusu maisha yake ya kawaida na ya kiutumishi, na aliweza kusema, huduma yake ya uimbaji alianza  miaka ya 80 baada ya kuolewa na mume wake ambaye hakuwa na waimbaji na ikamlazimu mke wake kumsaidia katika uimbaji. Amefanya huduma hiyo kwa muda mrefu sana na amekuwa akisaidia waimbaji wenzake katika kwaya mbalimbali.

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Mch. Edith Lyengi Wambura.

Mch. Edith Lyengi Wambura kwa muda muda wa miaka 7 hakubahatika kupata mtoto, kuna baadhi ya watumishi baada ya kuombewa na wachungaji aliweza kupata mtoto na sasa ana watoto wanne. Nisikumalizie uhondo sikiliza mwenyewe

Comments