RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHRISTINA MBILINYI AZUNGUMZIA MAISHA YAKE NA RUMAFRICA ONLINE TV

Mahojiano ya Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania, Christina Mbilinyi na Rumafrica. Katika mahojiano haya utapata kujua historia fupi ya maisha yake kabla hajaokoka na baada ya kuokoka. Ametoa historia fupi ya maisha yake ya kimuziki. Unaweza kuwasilina naye kwa simu +255 719 009 543. Tembelea www.rumaafrica.blogspot.com

Comments