Siku ya Jumapili 15/03/2015 Mkurugenzi wa J-Filmaliweza kukaa na Team Odama 4 Life na kuweza kuwapongeza kwa kazi waliyofanya ya kuitangaza filamu mpya ya JADA, ambayo kwa hakika inafanya vizuri sana katika ulimwengu wa filamu Tanzania. Kwa muda mfupi JADA imepokelewa na watu wengi, na hii ni kutokana na juhudi za timu ya Odama ambayo imeamua kumuunga mwigizaji huyu ambaye aekubalika na jamii ya Kitanzania kwa kutokuwa na skendo na ni mwigizaji anayeigiza vizuri sana.
Odama aliweza kutoa Tshirts zilizotengezwa na Rumafrica (+266 715 851 523) zente ujumbe TEAM ODAMA 4 LIFE, na pia waliza kukaa kwa pamoja kwa upendo na kuweza kunywa na kula. Baada ya kumaliza zoezi la chakula na vinywaji kilifuata kipindi cha wadau hawa kutoa hisia zao kwa mkurugenzi wao Odama na kumuuliza baadhi ya maswali. Odama aliweza kuyajibu maswali yote na kuweza kuwashukuru Teama Odama 4 Life kwa kazi yao nzuri na pia aliwashukuru wadau wote ambao waliweza kujua mengi kwa kupitia Team Odama 4 Life au kwa njia yoyote ile kama TV, redio, magazeti, mitandao mbalimbali
Rulea Sanga (kushoto) na Jeniffer Kyaka (Odama)
Hii ndiyo Team Odama 4 Life
Team Odama 4 Life
KPINDI CHA KUPATA CHAKULIA
Rulea Sanga (kushoto)
Odama
Rulea Sanga (kushoto)
Rulea Sanga (kushoto)
Issa
ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYZA "Read More" HAPO CHINI KIDOGO KUSHOTO
KIPINDI CHA KUJADILI MASWALA YA TEAM ODAMA 4 LIFE
Odama na Issa
Rulea Sanga(wa pili kutoka kushoto) akichangia maada katika kikao cha Team Odama 4 Life
Rulea Sanga(wa pili kutoka kushoto) akichangia maada katika kikao cha Team Odama 4 Life
Rulea Sanga(wa pili kutoka kulia) akichangia maada katika kikao cha Team Odama 4 Life
Rulea Sanga(wa pili kutoka kulia) akichangia maada katika kikao cha Team Odama 4 Life
Odama na Issa (kulia)
Odama na Issa (kulia)
Comments