RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAPICHA YA EVENT YA LOVE SONG TO JESUS MBEZI KKKT

Rumafrica inamponeza sana Uncle Jimmy kwa kuweza kutusaidia kupata hizi picha za tamasha la Love Songs to Jesus lililofanyika katika kanisa la KKKT Mbezi jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Tamasha hili la kipekee Tanzania liliandaliwa na Misericordias kwaajili ya kumpa utukufu Mungu wetu.
Upendo Kilahiro

Hii inapendeza kuona kwamba vijana wameamka na kutambua faida za kumtumikia Mungu. Hap zamani mtu akiokoka alionekana mshamba sana, lakini sasa imekuwa kinyume chake. Vijana wamejipanga kuhakikisha kazi ya Mungu inakuwa katika viwango vingine.
MC. Godwin Gondwe -Mtangazaji wa ITV
Mungu wetu anatamani sana kuona watu wake wanafanya vitu vikubwa na vyenye kiwango cha juu sana kushinda watu wa mataifa. Mungu ametupa kila kitu hapa duniani, kinachotushinda kuvipata ni kutokana na kutofanya mapenzi ya Mungu.
John Lisu

Nawashukuru waandaji wa EVENT hii ambayo kwa kupitia picha inaonekana ni event ya kimataifa ukianzia vyombo, eneo, mapambo, vijana walivyo smart na mpangilio kwa ujumla. Tuzidi kukaa magotini pa Mungu ili azidi kutubariki ili tuwe na fedha nyingi na kufanya vitu vikubwa ambavyo vitasababisha hata watu ambao hawajaokoka wakatamani kuokoka.
Upendo Kilahiro

Sasas ngoja tuone matukio ya Event hii.


Baba wa tatu John Lisu akifanya kweli mdau wangu

 
 Emmanuel Gripa muite Have weight….


 
Fred Msungu akiwa katika ubora wake…..
Baba wa tatu John Lisu kama kawaida yake,,,,,,,Gita sila ya vitani.



Huyu Kaka anamajina mengi…Samuel Fundi,Samuel mashine,Samuel uwezo,Samuel Producer.Hapa alitukumbusha wimbo wake flani amaizing

ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYEZA "Read More" HAPO CHINI KIDOGO KUSHOTO



Kutoka KKKT KIJITONYAMA Kwaya ya vijana.Very smart!!





Kama kuna vijana wanatakiwa kupewa hongera basi huyu anastahili….ana vocal mwee!!

Kushoto Mch Dr.Huruma Nkone na Mch Abel walikuwepo

Kwaya ya vijana KKKT Kijitonyama mdogo mdogo wakienda sawa jukwaani.

 




Hapana chezea sauti ya huyu Mamaa Upendo Kilahiro


Bomby Johnson akisalimia Kanisa..






Godwin Gondwe akimkaribisha Mise kuanza Love Songs to Jesus.
Mise akaanza kutupa vionjo vyake katika mdomo wa Bata!

Ezekiel Zachary katika mdako wa camer ya Unclejimmytemu.com kodooo!!

Mweee kwa hisani ya Ezekiel



Mise akishukuru jambo baada ya watu wengi kujitokeza katika event yake…..

Comments