RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MKURUGENZI WA THE FANTHAGET SANITARIUM CLINIC ATOA ZAWADI YA VIFAA MBALIMBALI WA WANAFUNZI WA TSJ KATIKA BASH YAO NDANI YA FUN CITY

MKURUGENZI WA THE FANTHAGET SANITARIUM CLINIC ATOA ZAWADI YA VIFAA MBALIMBALI WA WANAFUNZI WA TSJ KATIKA BASH YAO NDANI YA FUN CITY
Picha zimepigwa na RUMAFRICA +255 715 851 523


MKURUGENZI wa Kliniki ya The Fadhaget Sanitarium iliyoko Mbezi–Afrikana jijini Dar, Dk. Fadhili Emily ametoa msaada wa vifaa vya kujifunzia wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha Times School Of Jounalism ‘TSJ’ kama zawadi kwa kutambua umuhimu wa habari nchini. Dk. Fadhili alifanya makabidhiano hayo jana wakati wanafunzi wa chuo hicho walipokuwa wamekwenda kufanya sherehe fupi kwa ajili ya mapumziko katika Viwanja vya Fun City, Kigamboni jijini Dar wakiwa na walimu wao pamoja na mkuu wa chuo hicho, Blandina Semaganga.

Miongoni mwa zawadi ambazo Dk. Fadhili aliwazawadia wanachuo hao ni pamoja na ‘tape recoder’, kamera na jezi za mpira wa miguu. Mbali na kuwasaidia wanachuo hao, Dk. Fadhili alisema atakuwa bega kwa bega kusaidia wanafunzi wa vyuo vingine vya habari kwani kufanya hivyo ni moja ya kuwatia nguvu wanafunzi wawapo vyuoni. Alisema kuwa kwa kutambua na kuthamini mchango kwa Watanzania katika kuunga jitihada za kuendeleza huduma zake za afya katika kliniki yake ya The Fadhaget Sanitarium ataweza kuwapatia elimu juu ya matumizi mazuri ya teknolojia ya simu za mikononi na jinsi ya kujilinda na matumizi mabaya ya simu.

Naye mkuu wa chuo hicho, Blandina alimpongeza Dk. Fadhili kwa kuweza kuwapatia msaada huo kwani ametambua vikwazo vinavyosababisha wanafunzi wengi wa vyuo vya habari kukosa vifaa vya kujifunzia na kuomba juhudi hizo ziendelee kwa wadau wengine.

MKUU WA CHUO CHA TSJ NA MAGENI RASMI WAKIWASILI NDANI YA ENEO LA TUKIO
 Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha TSJ, Blandina Semaganga(wa nne kutoka kushoto)
Rais wa wanafunzi TSJ John Kisaka (kushoto) Dr. Emily Fadhili wa The Fathaget Sanitarium Clinic (wa tatu kuliko kushoto), Mkuu wa Chuo cha TSJ
Blandina Semaganga
Mkurugenzi wa Rumafrica wa pili kutoka kulia Rulea Sanga akiwa amshikilia kipaza sauti cha Clouds TV

Dr. Fadhili Emily akihojiwa na waandishi wa Habari eneo la Fun City Kigamboni Dar


Baadhi ya wanaandish wa habari kutoka TSJ na vyombo mbalimbali vya habari kama Star TV
Uncle Jimmy wa Clouds TV kipindi cha CHOMOZA

 
 John Kissaka (kushoto)-Rais wa Wanafunzi wa Chuo cha TSJ akiwa na "Cordinator" wa Chuo Suzan Ndosi
 Mgeni Rasmi Dr. Fadhili Emily wa klinik ya The Fadhaget (kulia) na akiwa na Sweetbeth Bruno
 
MC

KIPINDI CHA KUTAMBULISHANA
  John Kissaka (kulia)-Rais wa Wanafunzi wa Chuo cha TSJ
 Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha TSJ, Blandina Semaganga (aliyesimama)

Dr. Fadhili Emily wa The Fadhaget Sanitarium Clinic Mbezi Beach


Mwanafunzi Florida Moses akijaribu kujibu swali linalolohusu kutoa maana ya FM
Mkuu wa Chuo cha Uandishi wa Habari cha TSJ, Blandina Semaganga

Copy and WIN : http://ow.ly/KfYkt
 
ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYEZA "Read More" HAPO CHINI



 Crew ya The Fadhaget Sanitarium Clinic

KIPINDI CHA BURUDANI KUTOKA KWA WASANII WA TSJ

Mwanafunzi wa TSJ akipga picha

Mwanachuo Florida Moses akitumbuiza
 
Mwanachuo Florida Moses akitumbuiza
 
 Mwanachuo Florida Moses akitumbuiza
 
 
Mwanachuo Florida Moses akitumbuiza
 


Kutoka kulia ni Mc. Bony Magupa (mtangazaji wa Praise Power Radio) wanaofuata ni Crew ya Smart Visual Production.







KIPINDI CHA BURUDANI KUTOKA THE FADHAGET SANITARIUM CLINIC

















































KIPINDI CHA FASHION SHOW















KIPINDI CHA BURUDANI KUTOKA KWA SAMY FLEVA
 Mc. Bony Magupa






























 Crew ya Smart Visual Production




 Murugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga (kulia) akiwa na Sam Fleva

KIPINDI CHA KUPATA KEKI







KIPINDI CHA HARAMBEE-KUNUNUA KEKI
Uncle Jimmy wa Clouds TV-Chomoza akichangia
 Uncle Jimmy wa Clouds TV-Chomoza akichangia
 Uncle Jimmy wa Clouds TV-Chomoza akichangia


 Rais wa Wanafunzi wa TSJ, John Kissaka akichangia kumua keki





























KIPINDI CHA KUPATA CHAKULA CHA MCHANA








Comments