Rumafrica kama kawaida yake ilipata mualiko wa kuhudhuria party ya kusherekea siku ya kuzaliwa kwa mtoto wa msanii mkubwa wa filamu Jennifer Kyaka (Odama). Mwanae Jason alikuwa anatimiza mwaka mmoja. Party hii ilifanyika katika ukumbi wa Jeshi ilioko Mikocheni kando ya bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam Tanzania.
Rumafrica ilikuwa pale kwaajili ya kupiga picha hizi unazoziona ili wewe uweze kujua kilichoajili siku hiyo ya Alhamisi 09/04/2015 mida ya saa mbili usiku na kuamalizika saa sita usiku
Party hii ilihudhuriwa na wasanii wengi sana wa Bongo Fleva na Bongo
Muvi, baadhi yao ni kama Davina, Thea, Shilole na Muziwanda, Faridi,
Lamata, Issa, Abdul, Malick, Rulea Sanga wa Rumafrica, Sandra, Kajala na
mwanae, Rhoda, mdogo wake Kajala, Cathy, wadau wa Odama na wengine
wengi kama utakavyowaona katika picha hapo chini.
Odama aliwashukuru wale wote waliofika na aliweza kutambulisha kampuni yake mpya ya J-Son Production mbali na ile iliyozoeleka ya J-FILM 4 LIFE. Aliwaomba wadau na wasanii wenzake kumuunga mkono ili aweze kutimiza ndoto zake.
Msanii wa filamu Jennifer Kyaka (Odama) na mwanamke anayejituma katika biashara mbalimbali, ambapo hii karibuni ameweza kufungua kampuni mpya ya J-Son Production, mpaka sasa ana kampuni mbili yaani ya J-Film 4 Life na J-Son Production
Odama na mwanae Jason
Siku ya alhamisi 9/04/2015 aliweza kufanya party kwaajili ya kusherekea siku ya kuzaliwa mwanae ambapo ameweza kutimiza mwaka mmoja. party hii ilifanyika Mikocheni Dar es Salaam katika ukumbi wa Jeshi ilioko kandokando ya bahari ya Hindi.
Party hii ilihudhuriwa na wasanii wengi sana wa Bongo Fleva na Bongo Muvi, baadhi yao ni kama Davina, Thea, Shilole na Muziwanda, Faridi, Lamata, Issa, Abdul, Malick, Rulea Sanga wa Rumafrica, Sandra, Kajala na mwanae, Rhoda, mdogo wake Kajala, Cathy, wadau wa Odama na wengine wengi kama utakavyowaona katika picha hapo chini.
kutoka kulia ni Kajala, Rulea Sanga na Shilole
KIPINDI CHA SHAMPENI
Kutoka kushoto ni mama yake Odama, mdogo wake Odama na rafiki yake na mdogo wake Odama
Mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga (kushoto) na mdau wa Odama
Kushoto ni Sandra na kulia ni Cathy
Rulea Sanga wa Rumafrica
Davina wa nne kutoka kushoto
Rulea Sanga na mmoja wa wadau wa Odama
Kushoto ni mdogo wake na Kajala akiwa na Rhoda rafiki yake wa karibu na Odama
Kutoka kushoto ni Kajala, Rulea Sanga na Shilole
KIPINDI CHA KEKI
Jason special cake
Rulea Sanga
Malick (kulia) na Rulea Sanga wa Rumafrica
Rhoda (kulia)
Malick akishuti
Rulea (kulia)
Mtaalamu kwa kuedit-Big (kushoto)
Tshirts na Logo (nembo) zimetengezwa na Rumafrica
Mdau wa Odama
Rulea (kushoto) na Malick
Malick (kulia) na Rulea Sanga
Kutoka kulia Thea, Davina na Cathy
ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYEZA "Read More" HAPO CHINI KIDOGO KULIA
KIPINDI CHA ODAMA KUMTEMBEZA JASON NA KUWASHUKURU KILA MMOJA MEZANI KWAKE
Mdau mkubwa wa wasanii wa Bongo muvi (kulia)
Malick
Odama akiwa Big
Mzee wa kusambaza habari za Odama mitandao.Mtu muhimu sana huyu katika kampuni ya J- Son Production na J-Film 4 Life
Director wa muvi za Odama, Lamata (kulia)
Ndugu zake Odama, kulia ni dada mkubwa, mtoto wa dadaake mkubwa, mdogo wake wa mwisho wa Odama
Rhoda
MC Teze
Rulea na Davina
Camera man Farid
Rulea na Davina
Davina (kushoto) na Thea
Rulea na Davina (kulia)
Mdau wa Bongo Muvi anayeheshimika na wasanii wengi kwa utoaji
Rulea na Davina (kulia)
KIPINDI CHA KUTOA ZAWADI KWA JASON
Wasanii wa Bongo Muvi
Director wa Bongo Muvi, Lamata
Ndugu na jamaa wa Odama
Mziwanda (kulia)
Shilole (kulia) na Kajala
xx
Shilole (kushoto) na mdogo wake Kajala
Kajala akitoa zawadi
Kajala na mwanae
Odama na mdogo wake wa mwisho
Davina (kushoto) na mdau
xxx
Odama (kulia) na Davina)
Rulea (kushoto) na camera man Malick
KIPINDI CHA KUPATA CHAKULA
Abdul (kulia) na Issa
Kutoka kushoto ni Davina, Cathy na Sandra
kutoka kushoto ni mdogo wakee Kajala, Msanii wa Bongo Fleva Klaka na Davina
Shilole (kulia)
Shilole na mpenzi wake Mziwanda
Shilole na mpenzi wake Mziwanda
kutoka kushoto ni mtoto wa Kajala na Farid
Abdul (kushoto) na Malick
Dada mkubwa wa Odama (kushoto)
Mama mzazi wa Odama (kushoto)
Thea
Rulea Sanga wa pili kutoka kushoto akipakuliwa msosi
KIPINDI CHA KUTOKELEZEA KWENYE KAMERA
Shilole (kushoto) na Odama
Shilole na Odama (kulia)
MC Teze (kulia) na Odama
Dada yake Odama mkubwa akiwa na mume wake
Malick (kushoto) na Big
KIPINDI CHA KUTUMBUIZA KILIWADIA
MC Teze (kushoto) akifloo
Farid akiflooo
Kutoka kulia ni Shilole, Rulea Sanga na Mziwanda
KIPINDI CHA KUFUNGA PARTY
Comments