Angel Benard
Kutokana na sababu zisizozuilika, tamasha la mwimbaji maarufu sana Tanzania, Angel Benard na mume wake mtarajiwa Godsave Sakafu limebadilishwa ukumbi wa kufanyikia. Ukumbi utakuwa UBUNGO PLAZA jijini Dar es Salaam. Kwahiyo siku ya Jumapili 24/05/2015 jisogeze mahali pale tukaburudikie na kujifunza mengi kupitia kwa waimbaji hawa. Usikose kuja na mwenzako siku hiyo.

Comments