RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANI KUFANYA TAMASHA KUBWA MKOANI ARUSHA

Kongamano hili llitaanza siku ya Jimamosi 20/06/2015 kuanzia saa 3:00 asubuhi ambapo Baba Askofu Stanley Hotay wa Dayosisi ya Mount Kilimanjaro atakuwa anweka wakfu kongamano hilo na siku ya Jumapili 21/06/2015 ndipo kongamano litapamba moto katika kanisa la St. James Kaloleni jijini Arusha kuanzia saan 8:00 mchana na kuendelea. Hakutakuwa na kiingilio chochote ni wewe kuja na kupata upako kutoka kwa watumishi wa Mungu kutoka Dodoma, Zanziba, Arusha, Dar es Salaam na sehemu mbalimbali.

Kutakuwa na waimbaji wengi sana kama vile Rose Muhando na wengine wengi kama unavyooona katika Tangazo hapo chini. Tangazo hili limetengezwa na Rumafrica +255 715 851 523

Comments