RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DOUBLE L KUTOKA TANGA KUACHIA AUDIO CD YAO

Double L ni wadada wawili ambao kwa mafunuo waliamua kuungana pamoja na kuanza kumtumikia Mungu kwa njia uimbaji mjini Tanga. Wadada hao ni Lucy Richard na Lilian Kipesi. Mbali na uimbaji pia ni wajasiriamali mjini Tanga. Ukihitaji hudumaa yao wasiliana nao kwa kupitia simu zao kwenye sticker hapo chini:


Rumafrica ndio wahusika waliotengeneza kava hili.

Comments