RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAANDALIZI YA DVD YA SIMULIZI NA LADY V (VERONICA FRANK) WA ALAMA ZA NYAKATI


Picha zimepigwa na Rumafrica +255 715 851 523
Veronica Frank (Lady V) mtangazaji wa Praise Power Redio iliyoko Mikocheni jijini Dar es Salaam Tanzania siku ya Jumatano 29/04/2015 alikuwa busy sana katika maandalizi ya Documentary yake ya tamasha alilofanya hivi karibuni (BONYEZA HAPA KUTAKA KUONA TAMASHA) ndani ya ukumbi wa Princes hall Sinza Mori jijini Dar es Salaam. Documentary hii inaandaliwa na RUMAFRICA wakishirikiana na J-SON Production. Maandalizi haya yalifanyika katika nyumba ya mjasiriamali mkali sana anaitwa Dai iliyoko Kijitonyama jijini Dar es Salaam. Nyumba hii hutumiak na wasanii wengi sana wa filamu Tanzania kama Ray, Odama, Wolper na wengine mashuhuri sana.
Veronica Frank (Lady V)
Lady V mbaye amekuwa kivutio cha watu wengi sana Tanzania kutoka na simulizi zake anazo simulia katika kipindi chake cha ALAMA ZA NYAKATI kinachorushwa na redio mashuhuri sana ya kidini ya Praise Power. Kipindi kimewahi kuwa na watangazaji wengi sana akiwemo mtangazaji wa Clouds FM Mch. Harisi Kapiga, James Temu, Eric Martin ambaye alimridhisha Veronica Frank na pia ndiye aliyemfundisha kutangaza.

Jennifer Kyaka (odama) akimsikiliza Veronica Frank kwa makini
Veronica Frank ambaye aliweza kufanya tamasha lake ambalo liliwakusana watu wengi sana na kusababisha watu kukaa katika foleni ndefu sana kwa muda wa masaa zaidi ya matatu wakisubiri kuingia ndani na baadae waliamua kuvunja geti ili waweze kuingia hasa pale waliposikia sauti ya Veronica Frank. Cha kushangaza ni pale MC Joseph na MC Bony Magupa walipotangaza kuwa watu waliosukuma geti na kuingia bure wanyooyeshe mikono yao ili watu wahudumu waende kuchukua pesa zao, nao waliweza kuonyesha na kusema hatukuja kwaajili ya kuingia bure bali tumekuja kumuona Veronica Frank
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga
Simuliza na Lady V kwa kupitia kipindi cha Praise Power cha Alama za Nyakati husimulia sana stori za watu waliopitia magumu sana katika maisha yao na wengine kukataa otamaa ya maisha, lakini baadae watu hawa wanakuja kufanikiwa kwa njia mbalimbali na kuwa na maisha mazuri tofauti na zamamni. Lady anachokifanya katika simulizi hizi ni kuchukua ule uhusika kwa aslilmia 100 anaposimulia. Unapomsikiliza Lady V hakika utadhani yeye ndiye alifanyiwa kile kitendo anachosimulia.

Odama akitabasamu simulizi za Veronica Frank

Mungu ameweka kitu cha pekee sana kwa mtangazaji huyu maana amekuwa kipenzi cha watu wengi sana Tanzania na hasa wale wanaosikiliza simulizi zake.

Rumafrica na J-Son Production ndiyo iliyohusika kufanya shooting katika tamasha hilo na sasa imeshafanya documetanry yake. Unaweza kuwasiliana na Rumafrica kwa simu +255 715 851 523 na sisi tutakuunganisha na Lady V na pia kampuni ya J-Son ambayo inamirikiwa na mwigizaji maarufu sana duniani, Jeniffer Kyaka (ODAMA) ambaye pia ana kampun ya utengenezajiwa filamu ya J-FILM 4 LIFE iliyopo KInondoni Biafra Dar es Salaam Tanzania.

BAADA YA KUANGALIA MAANDALIZI YA DOCUMENTARY YA LADY V, UKITAKA KUONA MATUKIO YA TAMASHA LAKE BONYEZA HAPA


Mkurugenzi na Director wa Rumafrica
, Rulea Sanga

Cameraman, Malick

Mkurugenzi na Director wa Rumafrica
, Rulea Sanga
Veronica Frank (Lady V)
 Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga
Odama (kulia) na Veronica Frank wakifanya yao
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica
, Rulea Sanga

Veronica Frank (Lady V) wa Simulizi za Alama za Nyakati akijiandaa kufanya yake
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga
Veronica Frank kabla ya ACTION kutamkwa
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga
Veronica Frank akijiweka sawa kwenye ROLLING UP
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga
Veronica Frank akifanya utangulizi wa documentary yake
Baada ya mapumuziko watu wakitupia mafoto kwa marafiki zao. Kutoka kulia ni Rulea Sanga, Veronica Frank na Malick

Kicheko kilitawala, ni raha kufanya kazi na J-Son Production
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga akichungulia vianvoendelea katika mafesibuku
Malick (kushoto) na Veronica Frank
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga
 
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga
Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga

Mkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea SangaMkurugenzi na Director wa Rumafrica, Rulea Sanga

ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBONYEZA READ MORE HAPO CHINI KIDOGO KULIA


Mzee wa boom, Issa (kushoto) na Veronica Frank

Mzee wa light, Abdul

Mzee wa Light Abdul




 

 
























Comments