RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA YATENGEZA AUDIO CD COVER LA ALBAMU MPYA YA SIRI HII YA MWIMBAJI CATHERINE MADII

Catherine Madii ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania. Mungu amempa neema hii ya uimbaji na yeye akaona ni bora akaweza kuitumia ili wewe na mimi tuweze kusikia ujumbe wa Mungu kupitia sauti yake. Kwa msaada wa Mungu wetu wa mbinguni ameweza kufanikiwa kumaliza albamu yake na sasa inapatikana mitaani.


Pia ni mwimbaji ambaye anapenda sana kuhubiri, na yupo tayari kushiriki katika makongamano, semina, mikutano, sherehe mbalimbali, makanisani kufanya huduma hii ya uimbaji na kuhubiri.

Kava limetengezwa na Rumafrica +255 715 851 523.



Comments