RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MH. FREEMAN MBOWE ALIVYOSHIRIKI TAMASHA LA FLORA MBASHA UBUNGO PLAZA

Mh. Freeman Mbowe wa CHADEMA aliweza kuhudhuri tamasha la Flora Mbasha katika ukumbi wa Ubungo Plaza siku ya Jumapili 14/07/2015. Tamasha hili lilikuwa la uzinduzi wa DVD mpya ya Flora Mbasha inajulikana kwa jina la NIPE NGUVU ZA KUSHINDA pamoja na kutambusha bendi yake mpya. Siku ya leo tutakuonyesha picha tu za kuwasili kwa Mh. Freeman Mbowe wakati mtumishi wa Mungu Mch. Maximillian (Majeshi Majeshi) akiimba.

Kushoto ni Freeman Mbowe
Kulia ni Mh. Freema Mbowe akiingia ukumbi..
Kulia ni Abjadi Mfinanga akifuatia Mh. Freema Mbowe


Kulia ni mama mzazi wa Flora Mbasha

Mch. Maximillian akiwa na waimbaji wenzake


 Mtangazaji

Mch. Maximillian

Mch. Maximillian

Dancers wa Mch. Maximillian
xx


Mch. Maximillian baada ya kumaliza kuimba aliamua kwenda kwenye High Table na kusalimiana na wageni rasmi

Comments