RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHAMUITA WAFANYA MAKUU MWANZA

Baadhi ya WanaCHAMUITA waliweza kufika Mwanza kwaajili ya kufanya kongamano kubwa la kumshukuru Mungu na kuliombea Taifa la Tanzania Amani na Utulivu. Muhubiri wa tamasha hili ni Bishop Dkt. Joice Ndalima kutoka Dar es Salaam na mwenyeji wa kongamano hilo ni Mkuu Mkoa wa Mwanza Mh. Magesa Murongo. Kuna baadhi ya waimbaji wametoka Dar es Salaam na mikoa mbalimbali kwenda kuungana na wakazi wa Mwanza kwaajili ya kumshukuru Mungu. Tuone baadhi ya matukio

 Katibu Muezezi wa CHAMUITA Taifa, Stella Joel (kushoto) wakiwa na mkazi wa Mwanza

Uliambaga Mwakatobe akiwa ziwani Mwanza 
Katibu Muezezi wa CHAMUITA Taifa, Stella Joe
l
  Katibu Muezezi wa CHAMUITA Taifa, Stella Joel (kushoto) akiwa na mwimbaji maarufu Tanzania Uliambaga Mwakatobe
 Mwimbaji maarufu Tanzania Uliambaga Mwakatobe akiwa katika mapumziko

 Mume wa Stella Joel bwana Yeronimo Mwalo

Mch. Lucy kutoka Dar (kushoto) na ni kiongozi wa CHAMUITA akiwa na wenyeji wa Mwanza

KIPINDI CHA KUPATA CHAKULA NA VINYWAJI



KIPINDI CHA KUMTUKUZA MUNGU KWA SIFA

Madam Ruti

 Bishop Dkt. Joice Ndalima akihubiri

Comments