RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHAMUITA YAZIDI KULIOMBEA TAIFA LA TANZANIA AMANI NA UTULIVU JIJINI MWANZA

Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) pamoja na Mch. Dkt. Rejoice kutoka Dar es Salaam wamezidi kumtumikia Mungu katika kongamano kubwa jijini Mwanza lililoanza tarehe 23 na kumalizika siku ya Jumapili 26/08/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Kiseke.  Mkutano huu umewavuta watu wengi kupitia mahubiri na uimbaji wa wanamuziki hawa ambao walijitoa kwaajili ya kuokoa mioyo ya watu na kuliombea Taifa la Tanzania amani na utulivu.

Kongamano hili liliambatana na maombezi na uponyaji ambapo waimbaji na watumishi wa Mungu (wahubiri) waliweza kuwaombea watu na kuwawekea mikono. Mungu aliweza kuwagusa na kuwaokoa walio wengi na wengine waliweza kuokoka.

Wakazi wa Mwanza waliweza kuwaandalia malazi na vyakula kwa  watumishi wa Mungu ambao walifika  waajili ya kazi ya Mungu. Hakika wakazi hawa wameonyesha moyo wa upendo wa Agape kwa wageni wao.

Tuone baadhi ya matukio yaliyotokea katika kongamano hilo.

 Katibu Mueneza wa CHAMUITA Stella Joel
 Ulimbaga Mwakatobe

Yeronimo Mwalo mume wa Stella Joel

ULIFIKA WAKATI WA KUPATA CHAKULA
 Ulimbaga Mwakatobe
 Magreth Sembuche
 Stella Joel

 Ulimbaga Mwakatobe

 Ulimbaga Mwakatobe (kushoto) na Mwenyekiti wa CHAMUITA Madam Ruti
 Madam Ruti

Ulimbaga Mwakatobe


NENO LIKIENDELEA NA MCHUNGAJI Dkt. REJOICE

Magreth Sembuche (kushoto) na Madam Ruti

KIPINDI CHA MAOMBEZI NA UPONYAJI


Comments