Wananchi wa Kenya wakiwa na furaha kubwa waliweza kumpokea mtumishi wa Mungu Nabii na Mtume Josephate Elias Mwingira katika nchi yao.
Lengo la mtumishi wa Mungu kufika Kenya ilikuwa kulifungua kanisa jipya la Efatha Ministry Kenya na kufanya maombezi mbele za Mungu wetu wa mbinguni. Pia mtumishi wa Mungu aliweza kuweka wakfu katika kanisa hilo na kulikabidhi kwa Mungu wetu ili azidi kulilinda na kuhakisha watu wanaponywa mioyo yao kupitia kwa watumishi wa Mungu watakaokuwa wakitoa huduma katika kanisa hilo.
Huduma ya EFATHA ilianzishwa na Mtume na Nabii Josephate Mwingira duniani, na makao makuu yako Tanzania Dar es Salaam Mwenge. Huduma hii imesambaa karibu mikoa yote ya Tanzania na nje ya Tanzania. Mungu anazidi kufanya matendo makuu katika kanisa hili na watu wanaokoka na kumtumikia Mungu.
Ni Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church wakiwa tayari kwa Furaha na Shangwe kwa ajili ya Kumpokea Baba yao wa Kiroho Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira.
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira, akiwasili Kanisa la Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre, Wana wa MUNGU wa Efatha Ministry Nairobi City Centre wakimpokea.
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira akiwa katika Nyumba ya BWANA Efatha Ministry Kenya- Nairobi City Centre Church.
Mtumishi wa MUNGU Mtume na Nabii Josephat Elias Mwingira Akiweka WAKFU Nyumba ya BWANA MUNGU Wetu MKUU Efatha Ministry Kenya- Taveta
Efatha Ministry Kenya- Taveta

Comments