RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

ASKOFU MH. DKT. GETRUDE RWAKATARE WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI B ASSEMBLES OF GOD AHUBIRI JUU YA " MTU MWENYE MAUMIVU YA NDANI" SIKU YA JUMAPILI 16/08/2015


 Leo hii napenda kukupa baadhi ya picha ambazo zinaonyesha jinsi gani uwepo wa Mungu ulivyotanda katika kanisa Mlima wa Moto Mikocheni B Assemblies of God lililopo jijini Dar es Salaam Tanzania katika kipindi cha maombezi na uponyaji. Askofu Mh. Dkt. Getrude Rwakatare akishirikiana na watumishi wa Mungu wa kanisa hilo waliweza kukemea mapepo, majini, na vifungo vya shetani kwa waumini wa kanisa hilo. Ibada hii ilikuwa na upako wa ajabu sana. Hakika Mungu anamtumia mtumishi wake Askofu Mh. Dkt. Getrude Rwakatare kufikisha ujumbe wake na kuwaokoa watu wenye shida mbalimbali. Tunakukaribisha sana katika ibada za Mlima wa Moto Mikocheni B Assemblies of God


Askofu Mh. Dkt. Getrude Rwakatare  akiwa katika maombezi


Askofu Mh. Dkt. Getrude Rwakatare  akiwaombea waumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B Assemblies of God














Mch. Stanley Nnko

PICHA KWA HISANI YA Rumafrica +255 715 851 523

BLOGU HII INADHAMINIWA NA SHULE BORA ZA KIMATAIFA ZA ST. MARY'S INTERNATIONAL ZILIZOPO TANZANIA
BONYEZA HAPA KUONA MH. MARY MWANJELWA AKILISHUKURU KANISA LA MLIMA WA MOTO



Comments