RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EXCLUSIVE: GAZUKO ATANGAZA KUACHIA VIDEO YAKE MPYA JUMAMOSI HII (8/8/2015).


Gazuko moja kati ya wanaharakati wa muziki wa Gospel Hip Hop, anaetamba na ngoma yake ya "Yesu Ni Bwana", Ametangaza rasmi leo kupitia ukurasa wake wa Facebook kwamba jumamosi hii ya tarehe 8/8/2015 ataachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa "Asante Sana".

Comments