RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

KRYSTAAL WALIVYOMTUKUZA MUNGU NDANI JIJI LA DAR ES SALAAM-TANZANIA

Usiku wa kuamkia Jumamosi 1Agosti ,2015 kundi maarufu la muziki wa Injili lenye makazi yake nchini Canada KRYTSTAAL walifanya Performance na wenyeji wao THE NEXT LEVEL chini ya Pastor Sam katika mkesha mahsusi uliopewa jina Usiku wa Kuabudu (Night Of Worship ). Mkesha huo ulifanyika ndani ya kanisa la City Christian Center Upanga jijini Dar es Salaam.
Kundi hilo lipo nchini kwa ziara maalum ya kihuduma na jumapili wanataraji kurecord live DVD ndani ya CCC Upanga. Twende sawa na matukio ya picha kwa hisani ya Unclejimmytemu.com














BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KIDOGO KUSHOTO  KUONA MATUKIO ZAIDI

Vijana wa GWT wakiingia CCC Upanga. Hiki ni chumba cha VIP walichokua wamekula pozi KRYSTAAL GROUP wakisubiria kufanya kweli mdau wangu. Zoezi likafunguliwa na Pastor Sam pamoja na The Next Level. Picha 8 KRYSTAAL wakifanya sound check kbla ya kufanya kweli. Kanisa la CCC UPANGA walitoa zawadi kwa walemavu wa ngozi kama sehemu ya upendo.






















































































































Comments