RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MC JERRY MTUMISHI ASHEREHESHA HARUSI YA JANETH NA TUMANIEL NDANI YA UKUMBI WA PICCOLO BEACH HOTEL - DAR

Mc Jerry binafsi ninamkubali sana kwa kazi zake. Ni kijana ambaye anajituma na mwenye discipline katika kazi. Kuhusu kutunza muda kwa MC Jerry amejaliwa, anahakikisha shughuli yake inakwenda kwa wakati uliopanga. Kama ukizungumzia ucheshi wa ma-MC duniani, hutaweza kumsahau MC Jerry, kwani ni kijana mcheshi na anapenda sana kuchekesha na kuona mtu akiwa na furaha wakati wote.

Pia ni mwigizaji wa filamu nchini Tanzania.

Siku ya tarehe  22/08/2015 MC Jerry aliweza kusherehesha harusi ya Janeth na Tumainiel  Unaweza kuwasiliana naye kwa simu +255 718 920 479 na tembelea www.rumaafrica.blogspot.com.












































BONYEZA "READ MORE" KUONA MATUKIO ZAIDI YA EVENT HII

































Comments