RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MH. MARY MWANJELWA AWASHUKURU WAUMINI WA KANISA LA MLIMA WA MOTO MIKOCHENI B ASSEMBLIES OF GOD

Mh. Mary Mwanjelwa ambaye ni muumini wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B Assemblies of God siku ya Jumapili 16/08/2015  aliweza kumshukuru Mungu kwa yale aliyofanya katika harakati zake za siasa, na pia aliwashukuru waumini wa kanisa hilo kwa maombezi waliyoyafanya kuliombea Taifa Tanzania amani na utulivu  katika kipindi hiki cha uchaguzi mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Alisema Mungu ni mwaminifu sana ukimtumikia hata kuacha . Mh. Mary Mwanjelwa alisisitiza watu kuzidi kuliombea Taifa letu katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu.
Mh. Mary Mwanjelwa
 Kulia ni Mh. Mary Mwanjelwa akiwa na Askofu Getrude Rwakatare wa Mlima wa Moto wa Asse,mblies of God.



Comments