RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CHAKULA CHA ROHONI KUTOKA KWA BWANA KUPITIA GAZETI LAKO LA RUMAFRICA GOSPO Online

Kuna watu wananjaa na kiu cha Neno la Mungu, wengine wamekuwa wakishika Biblia zao wakitaka kusoma Neno la Mungu lakini wanashinwa wakijikuta wanakumbana na usingizi au sababu mbalimbali na mwisho wa siku wanaamua kuachana na Biblia na kuchukua uamuzi wa kusoma magazeti au vitabu vyenye kuvutia, wamekuwa wakitamani kusoma magazeti yenye picha nyingi sana.

Rumafrica baada ya kukaa na kufikiria ikaona kuna sababu ya kufanya kitu kwa hayo wanaoshidwa kusoma Biblia kwa muda mrefu. Kitu cha kwanza ikaona ni vizuri kutumia picha na ujumbe kuhakikisha mtu hachoki kusoma Neno la Mungu. Wazo hili limeweza kufanya vizuri kutokana na watu kukubali huduma hii kwa mikono miwili. hakika Mungu ni mwema na tunaahidi sasa kuja na njia nyingine ambayo hii haitamchosha msomaji kupata ujumbe kwa njia ya graphics















Comments