RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WAIMBAJI WA GOSPO TANZANIA: EDSON MWASABWITE NA ISAYA MSANGI WALIVYOSHIRIKI IBADA YA KUOMBEA MAVAZI MLIMA WA MOTO


Siku ya Jumapili 07.02.2016 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" waimbaji wa nyim,bo za Injili Tanzania Edson Mwasabwite na Dr. Isaya Msangi waliweza kumtumika Mungu wetu kwa njia ya uimbaji na baadae waliweza kupokea baraka kutoka kwa Bishop Dr. Gertrude Rwakatare na wachungaji wa kanisa hilo. Kanisa lilibarikiwa sana na wa waimbaji hao, waliweza kuvamia madhabahu wakitaka kupokea upako kutoka kwa waimbaji hao. Mungu azidi kuwalinda na kuwainua waimbaji hawa  kwa kazi nzuri wanayofanya kwa utukufu wa JEHOVA




Comments