RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MATUKIO KATIKA PICHA IBADA YA JUMAPILI 28.02.2016 MLIMA WA MOTO MIKOCHENI "B" KWA BISHOP DR. GERTRUDE RWAKATARE

Hizi ni baadhi tu ya picha zilizopatikana katika kipindi cha Sunday School katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B". Mch. Francis Machichi wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" linaloongozwa na Bishop Dr. Gertrude Rwakatare aliweza kufundisha juu ya URITHI na aina zake za URITHI. Somo lilikuwa zuri sana na watu wengi walibarikiwa na ufunuo wa Mchungaji huyu. Siku ya leo tungependa tu uone matukio katika picha katika ibada hiyo wakati tunakuandalia somo alilofundisha mtumishi wa Mungu Mch. F. Machichi.

Mch. Francis Machichi

Mch. Elizabeth akisoma Biblia ambayo ilikuwa ikitafsiriwa na kuchambuliwa na Mch. Francis Machichi


 Mtu na me wake
 Kushoto ni muumini anayetumia kalamu ya upako inayotolewa katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"


 Mzee wa Kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B"

BONYEZA "READ MORE" KUONA MATUKIO MENGINE MENGI HAPO CHINI


 Mzee wa kanisa Mlima wa Moto Mikocheni "B"



 Kulia ni muumini aliyeokoka Jumapili hii ya 28.02.2016
 Mzee wa kanisa na mke wake wakiwa makini 


 Mzee wa Kanisa Mzee Malya akifuatilia somo kwa umakini



 Wa pili kutoka kulia ni kiongozi wa Vijana wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B", Bwana Victor


 Mhudumu wa kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" akiwa katika maombi.

Tunakukaribisha sana katika ibada ya Jumapili saa 3 asubuhi. Usafiri wa kufika kanisani ni Bure kuanzia katika nje ya kituo cha mabasi cha Makumbusho jijini Dar es Salaam au Mwenge mataa utaona mabasi ya Mlima wa Moto Mikocheni "B", ingia humo bila kulipia nauli


Comments