MUENDELEZO WA TAMASHA LA MEGA MKATE NA PRAISE POWER RADIO SIKU YA PASAKA 2016- URAFIKI SOCIAL HALL DAR
Hili ni tamasha lililoandaliwa na kituo cha redio cha Praise Power Radio, liliitwa MEGA MKATE NA PRAISE POWER. Tamasha lilifanyika Jumapili ya Pasaka 27.03.2016 katika ukumbi tulivu wa Urafiki Social Hall jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tamasha hili lililenga kufurahia kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo na kuwatambulisha watangazaji wa PPR kwa wadau wanaofuatilia vipindi vinavyorushwa katika kituo hicho. Tamasha hili liliweza kualika waimbaji wengi sana kwaajili ya kuwabariki wadau wa PPR kwa kupitia uimbaji.
Sasa naomba tuangalie matukio haya
MC. Joshua Makondeko - TutapitaKatikatiYao
Bahati Bukuku
Flora Mbasha (kushoto)
Edson Mwasabwite
Tumaini Njole
Mtangazaji wa Sifa Moto Praise Power Radio Judith Njole (kushoto) na Madam Ruti (kulia)
Mess Jacob Chengula
Mkate wa Mega Mkate na Praise Power Radio
Watangazaji wa Praise Power Radio Frida (kulia) na Victoria Syaona
Comments